VIDEO: Mwimbaji Joel Luagwa kufunga ndoa
Uchebe The Don
0
Tags
CELEBRITIES
Mwimbaji wa nyimbo za injili Bongo, Joel
Luagwa amemchumbia mchumba wake anayetarajia kufunga naye ndoa hivi
karibuni, tukio hilo limefanyika leo July 26, 2020 ambapo wameshiriki
watu wake wa karibu wakiwemo MC Pilipi na MC Luvanda.